Advertisements

Tuesday, April 22, 2014

NI WATU 105 WALIOKWISHA STOWAWAY NA NDEGE

Imetaarifiwa kuwa jumla ya watu 105 wameisha stowaway na ni 25 tu ndio walionusurika na hii ni kutokana na baridi kali na ukosefu wa oxygen ndege inapokua angani. 

Mtoto wa miaka 16 aliyetoroka na ndege kwa kujificha kwenye milango ya kukunjia matairi ya ndege inapokuwa angani anaendelea vizuri na amewekwa kwenye hifadhi ya watoto na mamlaka husika bado haijamfungulia mashtaka kwa madai kwamba kunusurika kifo wakati akiwa angani ni mateso tosha na wanashangaa jinsi gani alivyopenya uzio wa uwanja wa ndege wa California na kufanikiwa kudandia ndege hiyo na kuwa angani kwa saa 5 mpaka Hawaii.

No comments: