Advertisements

Friday, April 18, 2014

Hasira Za Mfanya Nelly Kuweka Hii Picha Na Kutangaza Hivi.


Wanasema ni rapper aliyewahi kuwa na wapenzi wazuri sana ila hakujua thamani yao mpaka walipomwacha na sasa anajiita Single Boy.
Mfuatiliaji mzuri wa habari za burudani utafahamu kuwa hivi karibuni rapper Nelly ameachwa na mabinti wawili wakali ambao ni Ashanti na LaShontae Heckard huku Ashanti akiwa na mahusiano mengine na LaShontae Heckard ameanzisha mahusiano na Brandon Jennings. Tatizo linalopelekea mabinti hawa kumbwaga rapper huu ni kwamba eti Nelly hawezi kuwa na mahusiano ya muda mrefu na binti moja.
Jana usiku Nelly a,eweka picha ya mwili wake uliojengeka na kusema kuwa yuko 100% Single.
nelly
Sasa kumbe Nelly alikasirika baada ya kuona picha ya aliyekuwa mpenzi wake LaShontae Heckard akimpa busu boyfriend wake mpya Brandon Jennings.
Lashontae-instagram

No comments: