Advertisements

Tuesday, April 22, 2014

AJALI KAZINI MCHEZA BASEBALL APIGWA NA MPIRA ULIOKUWA NA SPEED YA 90MPH

Delino DeShields Jr uso wake ulivyo baada ya kupigwa na mpira wa baseball uliokuwa umerusha kwa speed 90mph ni ajari kazini watoto nyumbani wale ugali.
Delino akijaribu kusmile hii ni twitter yake alitwitter maneno haya hapa chini.

@LinoDeShields
 DeShields akitolewa njee baada ya kujeruhiwa na mpira akiwa mchezoni.
Mpira uliompiga baada ya kuhukosa na kufikia usoni.

No comments: